Alichoandika mbwana Samatta baada ya goli la Erasto Nyoni - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 5 July 2017

Alichoandika mbwana Samatta baada ya goli la Erasto Nyoni

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ameonyesha kufurahishwa na ufungaji wa goli ka Kwanza la timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars lilitiwa kimiani na Erasto Nyoni.


Samata ameandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa twittermda mchache tu baada ya goli hilo.


Nyoni alifunga goli hilo mnamo dakika ya 14 ya mchezo huo ambao ulimalizika kwa Stars kukubari kipigo cha goli 4-2 na hivyo kuondoshwa katika mbio za ubingwa hivyo kuachiwa nafasi ya kuwania mshindi wa tatu katika mchezo utakao ikutanisha Stars na Lesotho.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages