Alichoandika Mbwana Samatta baada ya ushindi wa Taifa Stars - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 3 July 2017

Alichoandika Mbwana Samatta baada ya ushindi wa Taifa Stars


Nahodha wa kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ambae hayupo katika kikosi hicho kilichoko nchini Afrika kusini katika kushiriki michuano ya COSAFA ameipongeza timu hiyo ya taifa baada ya ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wenyeji Afrika ya kusini mchezo uliopigwa hapo jana.


Katika mchezo huo Stars ilijipatia goli hilo pekee kupitia kwa Mshambuliaji wake Elias Maguli goli lililopachikwa mnamo dakika ya 18 ya mchezo goli lililodumu hadi dakika 90 zinamalizika.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages