Header Ads

Alichoandika Ibrahim Ajibu baada ya kufanya mazoezi yake ya kwanza na klabu yake mpya ya Yanga.Mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga Ibrahim Ajibu ameanza mazoezi katika klabu yake hiyo mpya katika maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu nchini.


Ajibu aliejiunga na Yanga akitokea simba baada ya mazoezi ya leo ameandika ujunbe huu kupitia akaunti yake ya Twitter.No comments:

Powered by Blogger.