YAYA TOURE AONGEZA MKATABA MANCHESTER CITY - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 1 June 2017

YAYA TOURE AONGEZA MKATABA MANCHESTER CITYKiungo Yaya Toure amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja Man City utakaomfanya aitumikie timu hiyo mpaka majira ya kiangazi 2018.


 Toure mwenye miaka 34 amejiunga Man city tokea mwaka 2010 akitokea katika klabu ya Barcelona ambapo aneitumikia kwa taklibani midimu sita mfululizo na hatimae ameongeza kandarasi itakayo mfanya kusalia hapo zaidi.


No comments:

Post Bottom Ad

Pages