YANGA YAUNGANA AFC LEOPARD KATIKA NUSU FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP HUKU WAKIZIZAMISHA SINGIDA UNITED NA TUSKER.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 5 June 2017

YANGA YAUNGANA AFC LEOPARD KATIKA NUSU FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP HUKU WAKIZIZAMISHA SINGIDA UNITED NA TUSKER..Vijana wa klabu ya Yanga wamefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya ligi ya Sportpesa Super Cup baada ya kuiwalaza mabingwa wa ligi kuu nchini Kenya Tusker kwa jumla ya penati 4-2 baada ya mlinda mlango wa Yanga "Dida" kuchomoa mikwaju miwili ya penati.


               
 Katika mchezo huo imeshuhudiwa klabu zote zikimaliza dakika 90 kwa kutoshana nguvu Kwa kutoka suruhu ya 0 - 0.


No comments:

Post Bottom Ad

Pages