YANGA YATAJWA KUINASA SAINI YA KIPA HUYU - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 12 June 2017

YANGA YATAJWA KUINASA SAINI YA KIPA HUYU


ZIKIWA ni nyakati za usajili kwa kila timu kujiimarisha vizuri katika kujiandaa na msimu mpya ligi kuu, kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya klabu ya Yanga kuwa imemalizana na kipa wa African Lyon Youthe Rostand ambaye ni raia Cameroon.

Kipa huyo ambae msimu uliopolita alifanya kazi huku tukishuhudia umakini wake katika lango licha ya timu yake kushuka daraja.

Rostand amewahi kutajwa na kocha George Lwandamina kuwa moja kati ya makipa wazuri aliowashudia Ligi Kuu na kocha huyo hakusita kuonesha kumuhitaji kipa huyo.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages