YANGA YA MSIMU UJAO HUENDA IKAWA KAMA HII.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 10 June 2017

YANGA YA MSIMU UJAO HUENDA IKAWA KAMA HII..


Msimu wa 2017-18 naiona Yanga SC ya mwaka 1995 . Yanga ya akina Salvatory Edward, Anwar Awadh, Sadiq Kalokola, Silvatusi Ibrahim chini ya mkongwe Mohamedi Hussein .... yaani Yanga Yosso. Bila mikakati makini basi chaguo la kutumia vijana wa timu B na wakongwe ambao mikataba yao bado ni mirefu na wenye moyo wa dhati kuendelea na timu ndio chaguo la mwisho

Kikosi cha Yanga (Yosso) cha mwaka 1995. Kutoka kushoto waliosimama ni meneja wa timu Nurdin, kipa Mahmoud Nyalusi, Kenneth Mkapa, Reuben Mgaza, Sylvatus Ibtahim 'Polisi', Dominic Mbawala, Ally Jabir Katundu, Sadiq Kalokola, kocha mkuu Tambwe Leya, kocha msaidizi Nzoysabah Tauzany. Waliochuchumaa ni Maalim Salehe 'Romario' James Tungaraza 'Boli Zozo', Ally Yussuf 'Tigana', Anwar Awadh Gessan, Mzee Abdallah Ngauja, Mohammed Hussein Daima 'Mmachinga' na Bakari Malima 'Jembe Ulaya.

Source:- The Chicharito.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages