Yanga wamnyatia huyu mkali kutoka Congo.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 30 June 2017

Yanga wamnyatia huyu mkali kutoka Congo..Klabu ya Yanga katika kuendelea kujiimarisha na maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu Tanzania imeanza rktaratibu za kumunyatia straika wa timu ya taifa ya Zambia na Klabu ya AC Léopards ya Congo " Winstone Kalengo".

Kalengo ambae amwjiunga na AC Léopards mnamo mwaka 2016 akitokea Zesco United huenda akatimkia yanga na kukipiga na mabingwa hao wa ligi kuu Tanzania 2016/2017..

No comments:

Post Bottom Ad

Pages