YANGA KUWAFUKUZIA WACHEZAJI HAWA,HUKU IKIAHIDI KUWATIMUA HAWA SOMA HAPA ZAIDI.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 1 June 2017

YANGA KUWAFUKUZIA WACHEZAJI HAWA,HUKU IKIAHIDI KUWATIMUA HAWA SOMA HAPA ZAIDI..Kocha wa klabu ya Yanga amewataja wachezaji ambao hayuko tayari kuendelea nao katika msimu ujao wa ligi kuu baada ya kutokuonyesha ubora wao katika msimu uliopita.


 Katika orodha hiyo Lwandanina amewataja wachezaji kama Mlinzi Oscar Joshua,na Donald Ngoma,huku Mkata umeme Justine Zulu akimuacha bila kuainisha mustakabari wake licha ya kukiri kua kiwango chake na Majeraha kumsumbua. Hata hivyo kocha huyo amewataja nyota kutoka timu za Zesco na mbeya city ambao ni Meshack Chaila Zesco na Rafael Daud Mbeya city.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages