WAZIRI JUNIOR KUJITIA KITANZI JANGWANI.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 2 June 2017

WAZIRI JUNIOR KUJITIA KITANZI JANGWANI..


Mshambuliaji wa Toto Africans, Waziri Junior yupo mbioni kujiungana

Yanga kwa mkataba wa miaka miwili.

Pamoja na Toto, kushusha daraja mshambuliaji  Junior alikuwa na mchango mkubwa katika timu

hiyo akifunga mabao sita (6), katika msimu huu.

Mmoja wa marafiki wa karibu wa Junior ameimbia MCL Digital kuwa chipukizi atasaini mkataba

wa miaka miwili na mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara msimu huu.

"Mambo yakienda vizuri kuna uwezekano  mkubwa Jumatatu akiwemo katika kikosi cha  Yanga kitakachocheza dhidi ya Tusker katika  mashindano ya SportPesa," kilidai chanzo hicho.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages