WATANZANIA WAWILI KUINOGOZA AFC LEOPARD KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 3 June 2017

WATANZANIA WAWILI KUINOGOZA AFC LEOPARD KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP


Paul Raphael Kiongera ni mmoja wa wachezaji wa AFC Leopards wanaotarajiwa kuwa chini ya kocha Dennis Kitambi
Klabu ya AFC Leopards ya nchini Kenya tayari imetangaza kikosi chake cha wachezaji 20 kwa ajili ya Kombe la SportPesa.
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Paul Kiongera ataongoza safu ya ushambuliaji wa timu hio. Washambuliaji wengine ni Mghana Gilbert Fiamenyo na Mganda Allan Katerega.
kikosi cha AFC Leopars kitakuwa chini ya kocha Mtanzania, Dennis Kitambi.
Kitambi amekabidhiwa jukumu la kuinoa AFC Leopards katika michuano ya SportPesa kufuatia kubwaga manyanga kwa kocha mkuu, Stewart Hall.
Kikosi cha AFC Leopards: , Ian Otieno, Gabriel Andika, Edwin Mukolwe , Joshua Mawira, Ramadhan Yakubu, Marcus Abwao, Salim Abdalla, Mike Kibwage, Dennis Sikhayi, Bernard Mang’oli, Whyvonne Isuza, Harun Nyakha, Allan Katerrega, Gilbert Fiamenyo, Marcelus Ingotsi , Vincent Oburu, Samuel Ndung’u, Paul Kiongera, Andrew Tololwa na Duncan Otieno

No comments:

Post Bottom Ad

Pages