WAFAHAMU HAPA NYOTA WALIOWAHI KUFUNGA MAGOLI MAWILI KWENYE MCHEZO WA FAINALI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 7 June 2017

WAFAHAMU HAPA NYOTA WALIOWAHI KUFUNGA MAGOLI MAWILI KWENYE MCHEZO WA FAINALI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE.Katika hatua ya fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya maarufu kama UEFA CHAMPIONS LEAGUE imekua ni nadra sana kushuhudia wachezaji wakifunga magoli yapatayo mawili au zaidi katika michezo hiyo.

Siku chache zilizopita nyota wa klabu ya Real Madrid "Christiano Ronaldo" amefanikiwa kuzifikia rekodi za nyota wengine wa kandanda waliowahi kufikia rekodi hizo.

Ukiachilia mbali Ronaldo nyota wengine ni kama :-

  1. Diego Milito
  2. Filippo Inzaghi
  3. HernĂ¡n Crespo
  4. Daniele Massaro 


No comments:

Post Bottom Ad

Pages