WACHEZAJI WA REAL MADRID WATAWALA KIKOSI BORA UEFA CHAMPIONS LEAGUE MSIMU 2016/2017.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 6 June 2017

WACHEZAJI WA REAL MADRID WATAWALA KIKOSI BORA UEFA CHAMPIONS LEAGUE MSIMU 2016/2017..

 
Wachezaji wa mabingwa wa ulaya klabu ya Real Madrid wameongoza katika kikosi cha wachezaji bora barani ulaya msimu huu .Mabingwa hao wa ulaya waliibuka kwa kuibwaga klabu ya Juventus kwa kipigo cha goli 4-1 katika mchexo wa fainali wa wikendi iliyopita.

 Kikosi hicho kinaongozwa na walinda mlango Buffon na Jan Oblak.Hicho hapo juu na kwingineko nyota  wa klabu ya Real Madrid Christiano Rinaldo amejinyakulia kiatu cha ufungaji bora baada ya kumpiku mpinzani wake Lionel Messi kwa kufunga magoli 12 huku nyota huyo wa Barcelona akifunga magoli 11.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages