VIDEO: TFF WATOA NENO BAADA YA JUMA NYOSO KUSAJILIWA KAGERA SUGAR SOMA NA TAZAMA HA.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 16 June 2017

VIDEO: TFF WATOA NENO BAADA YA JUMA NYOSO KUSAJILIWA KAGERA SUGAR SOMA NA TAZAMA HA..


June 14 ikiwa ni siku moja kabla ya dirisha la usajili la wachezaji soka Tanzania kufunguliwa, club ya Kagera Sugar ya Bukoba ilitangaza kuingia na Nyosso mkataba wa mwaka mmoja, adhabu ya Juma Nyosso kwa kawaida itaisha mwezi Septemba vipi kanuni zinasemaje?

“Tumeona kwenye mitandao ya kijamii Kagera Sugar wakitangaza kumsajili Juma Nyosso naamini Kagera Sugar watafuata taratibu za usajili, huyu ni mchezaji ambaye ana adhabu ya kufungiwa miaka miwili  lakini kubwa ni kuwa Nyosso ameleta barua TFF ya kuomba radhi”>>> Alfred Lucas

No comments:

Post Bottom Ad

Pages