Header Ads

USAJILI: YANGA YAANZA MAKEKE YA USAJILI, YAMNASA BEKI HUYU..


Beki wa timu ya Jang"ombe Abdallah Haji Shaibu "Ninja" amesaini mkataba wa miaka 2 na mabingwa watetezi wa ligi kuu soka tanzania bara.


Hii ni baada ya ukimywa wa mda mrefu huku wapinzani wao Simba wakiwa ndo wanazidi kuchanja mbuga mjini kwa kufanya usajili babu kubwa..

No comments:

Powered by Blogger.