USAJILI YANGA: MKWASA AFUNGUKA HAYA... - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 13 June 2017

USAJILI YANGA: MKWASA AFUNGUKA HAYA...


Katibu mkuu wa klabu ya Yanga ameweka wazi mfumo ambao unatumiwa na klabu hiyo katika kufanya Usajili ,kwa mujibu wa Mkwasa amesema "Sisi tunaendelea, usajili wetu unaenda kimya kimya".

Yanga ambayo hadi sasa haijaonyesha makeke yake katika kufanya usajili mpaka kufikia wakati ambao inajikuta ikipoteza wachezaji iliyokua ikiwafukuzia kwa kuingia mikataba na klabu nyingine.

Kwa taarifa zisiszo rasmi kutoka kwenye vyombo mbalimbali zimekua zikiripoti kua klabu hiyo imekumbwa na ukata.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages