USAJILI ULAYA: MAHREZ AISUBIRI BARCELONA,ARSENAL NAO HAWAKATI TAMAA - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 13 June 2017

USAJILI ULAYA: MAHREZ AISUBIRI BARCELONA,ARSENAL NAO HAWAKATI TAMAAWinga wa Leicester City Riyad Mahrez anaisubiria Barcelona itoe dau kumsajili anapojipanga kuachana na mbingwa wa Ligi Kuu Uingereza wa 2016, kwa mujibu wa  Sport .

Mahrez ameripotiwa kupokea ofa kutoka Arsenal na Chelsea lakini angependelea kujiunga na Barca kucheza La Liga.Arsenal wamepania kuizidi ujanja Chelsea kumsajili kiungo aw Bayer Leverkusen Hakan Calhanoglu, kwa mujibu wa  Aksam .

Chelsea walikuwa wakivutiwa muda mrefu na Calhanoglu, lakini kwa sasa Arsenal na Lazio zinakaribia kumnasa kwa dau la €20 millioni. 

No comments:

Post Bottom Ad

Pages