Header Ads

USAJILI SIMBA: KIUNGO MPYA ATUA MSIMBAZI


Kiungo wa klabu ya Mtibwa Sugar  Ally Shomari asaini kandarasi ya miaka miwili kuichezea klabu ya Simba.

Ally ataanza kuitumikia kandarasi ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao huku akiungana na nyita wengine kama vile John Bocco,Shomari Kapombe,Aishi Manura, N.K..

No comments:

Powered by Blogger.