Header Ads

USAJILI : MKUDE ANUKIA KUTIMKIA HUKU .

Wageni wa ligi Singida United wmeonyesha nia ya kumsaini Nahodha wa Simba, Jonas Mkude.


Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika uongozi wa klabu hiyo ni kwamba uongozi wa klabu hiyo umekiri kuzungumza na kijana huyo.

No comments:

Powered by Blogger.