Header Ads

USAJILI MBARAKA YUSUFU,UONGOZI KAGERA WAJA JUU SOMA ZAIDI..Siku kadhaa baada ya mshambuliaji Mbaraka Yusuph kumwaga wino klabuni Azam FC , uongozi wa Klabu ya Kagera Sugar alikotokea mchezaji huyo umeibuka na kupinga usajili huo.

Kwa mujibu wa uongozi huo inasemekana kua mchezaji huyo bado ana mkataba na klabu hiyo hata hivyo uongozi huo unaendelea na mipango ya  kupeleka madai yake TFF.

No comments:

Powered by Blogger.