Header Ads

USAJILI KAGERA SUGAR: JUMA NYOSO KUREJEA LIGI KUU KUTUA KAGERA SUGAR.


Baada ya kumaliza kifungo chake beki wa zamani wa Mbeya City Juma Nyoso atajwa kurejea ligi kuu Tanzania bara baada ya kuripotiwa kufukia makubariano na klabu ya Kagera Sugar.

Akiongea na kipindi cha michezo na burudani cha Kasibante FM mratibu wa kikosi cha Kagera Mohamed Hussein amesema tayari mchezaji huyo yupo katika mazungumzo na keo ataanza safati ya kueleakea katika mashamba ya miwa pale Misenyi mkoani Kagera.

Hata hivyo Nyoso aligungiwa miaka miwili na faini ya shilling millioni 2 baada ya kumfanyia kitendo kisichokua cha kinidhamu mchezaji wa Azam John Bocco huku akitajwa kufanya kitendo hicho mara kadhaa.

No comments:

Powered by Blogger.