USAJILI: Huyu hapa mrithi wa Niyonzima Yanga,nae atoke Rwanda.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 24 June 2017

USAJILI: Huyu hapa mrithi wa Niyonzima Yanga,nae atoke Rwanda..


Baada ya kutangaza rasimi kushindwa kuafikiana na mshambuliaji wake Haruna Niyonzima,klabu ya Yanga inamfukuzia nyota kutoka nchini Rwanda, " Iranzi Jean Claude ".

Iranzi anatajwa kua ndiye atakaekua mrithi wa Niyonzima katika klabu hiyo akitokea klabu ya "MFK Topvar Topolcany" inayoshiriki ligi daraja la tatu ya Slovakia, ambae ametoka katika klabu hiy kwa kufukuzwa kutokana na kutokua na kiwango kizuri.

Hata hivyo nyota huyo pia  anawaniwa na klabu ya Tusker ya pale nchini Kenya.

Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages