USAJILI: FALCAO KITANZINI MIAKA MITATU - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 1 June 2017

USAJILI: FALCAO KITANZINI MIAKA MITATUStriker wa klabu ya AS Monaco Radamel Falcao ameongeza mkataba wa kuendelea kudumu klabuni hapo kwa miaka mingine 3.


  •  MuColombia huyo amejiunga na klabu hiyo tangu mwa 2013 lucha ya kupelekwa kwa mkopo katika vilabu vya Manchester United na Chrlesea..

No comments:

Post Bottom Ad

Pages