TETESI ZA USAJILI ULAYA LEO JUNE 20. 2017 - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 20 June 2017

TETESI ZA USAJILI ULAYA LEO JUNE 20. 2017


Manchester City imeandaa dau ili kuinasa saini ya straika wa Borussia Dortmund na raia wa  Gabon "Pierre-Emerick Aubameyang"  (Sky Sports)

Manchester United watawapa Real Madrid David de Gea, 26, pamoja na pauni milioni 183, ili kumsajili Cristiano Ronaldo, 32 pamoja na Alvaro Morata, 24 (Tuttosport)
Iwapo De Gea atakwenda Real Madrid, Manchester United watamfuatilia kipa wa AC Milan Gianluigi Donnarumma, 18 (Calciomercato)

Christiano Ronaldo amesema atarahisisha dau kwa Manchester united ili kuondoa ugumu wa yeye kuondoka Madrid.(The sun)
Chelsea wako tayari kumkwapua nyota wa Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain kutokea Arsenal, wakati huohuo klabu za  Liverpool na Manchester City pia zinaiwania saini ya kiungo huyo. (Mirror)Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages