Tambwe kitanzini tena Yanga. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 27 June 2017

Tambwe kitanzini tena Yanga.Mshambuliaji wa klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Burundi Amisi Tambwe amekamilisha dili la kuendelea kuitumikia klabu yake ya Yanga baada ya kuingia mkataba mwingine kuendelea kuitumikia klabu hiyo.


Tambwe alisaini mkataba huo juzi baada ya kurejea kutoka mapumzikoni nchini kwao Burundi hivyo kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya mitaa ya Twiga na Jangwani kwa kipindi cha miaka miwili mingine.


Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages