TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 11 June 2017

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.Kamati ya Uchaguzi ya TFF kesho Jumapili Juni 11, 2917 saa 6.00 mchana itazungumza na wanahabari katika Ukumbi wa TFF, Karume Ilala jijini Dar es Salaam. Nachukua nafasi kuwakaribisha wanahabari wote.

Alfred Lucas
...........................
Ofisa Habari na Mawasiliano TFF.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages