TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA TFF - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 13 June 2017

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA TFF


Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka TFF

Salaam.
Kwa sababu za dharura, hatutakuwa na mkutano na wanahabari leo Jumanne Juni 13, 2017. Kadhalika Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga hatakuwa na nafasi ya kuteta na wanahabari kama alivyopanga. Tunaomba radhi kwa usumbufu na kikosi cha Cosafa kitawajia kwa njia ya Taarifa kwa Vyombo vya habari.

Alfred Lucas
...........................
Ofisa Habari na Mawasiliano TFF.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages