SURE BOY KUG'OKA AZAM FC - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 2 June 2017

SURE BOY KUG'OKA AZAM FC

Baada ya siku za hivi karibu kushudia posti kupitia akaunti ya Instagram ya nyota wa klabu ya Azam 'John Bocco' kuhusishwa na kuondoka katika klabu hiyo,usiku wa leo pia tumeshuhudia ujunbe mwinginge kutoka kwa mchezaji wa klabu hiyo Salum Abubakary 'Sure boy' uliozua utata katika tafsiri yake huku wachambuzi wa mambo wakiashilia kua ni njia ya kuonyesha nia yake ya kuondoka klabuni humo.


 Katika akaunti hiyo Sure boy aliandika ujambe usomekao” ….mtu hawezi kujua thamani ya kitu mpaka akikose. Ukiona mwenzio kanyolewa zako tia maji….” Baad ya ujumbe huo wachambuzi wameutafsiri kama kiashilia cha yeye kuondoka katika klabu hiyo.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages