STARS YAKAMILISHA KAMBI HUKO MISRI KOCHA AISIFIA KAMBI HIYO. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 6 June 2017

STARS YAKAMILISHA KAMBI HUKO MISRI KOCHA AISIFIA KAMBI HIYO.


Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania maarufu kwa jina la Taifa Stars, inatarajiwa kuondoka Cairo, Misri usiku wa kuamkia kesho Jumatano kurejea Dar es Salaam, Tanzania ambako inatarajiwa kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, siku hiyo hiyo saa 6.30 mchana.

Timu hiyo iliyosafiri kwa ndege wa Ethiopia, ilikuwa jijini Alexandria - Kaskazini kabisa mwa nchi ya Misri ambako ilipiga kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo dhidi ya Lesotho unaotarajiwa kufanyika Jumamosi Juni 10, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

MTAZAME HAPA KOCHA MAYANGA AKIZUNGUMZA BAADA YA MAZOEZI YA LEO ASUBUHI.

Imetolewa na Afisa habari wa TFF


Alfred Lucas.No comments:

Post Bottom Ad

Pages