STARS YAENDELEA NA MAZOEZI HUKO ALEXANDRIA, MISRI.HUYU HAPA MSEMAJI WA TFF - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 4 June 2017

STARS YAENDELEA NA MAZOEZI HUKO ALEXANDRIA, MISRI.HUYU HAPA MSEMAJI WA TFF


Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzani TaifaStars kimeendelea na mazoezi leo huko Alexandria,Misri kujiandaa na mechi ya kufuzu AFCON 2019 dhidi ya Lesotho,Juni 10 


Akizungumza  baada ya mazoezi ya  leo Asubuhi msemaji wa TFF Alfred Lucas amesema hali ya majeruhi Mohamed Hussein Tshabalala na pamoja na Shomari Kapombe ambao wote wana matatizo ya kifundo cha mguu sio mbaya sana .


HUYU HAPA ALFRED LUCAS AKIONGEA MOJA KWA MOJA KUTOKEA MISRI.


No comments:

Post Bottom Ad

Pages