Stars mzigoni leo COSAFA... - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 29 June 2017

Stars mzigoni leo COSAFA...

Usipitwe na breaking news mbalimbaliza michezo pamoja na tetesi zote za usajili,like page yetu ya facebook 👉👉 HAPA


Vijana wa timu ya taifa ya Tanzania leo watashuka dinbani kumenyana na vijana wa timu ya taifa ya Martius katika mchezo wake wa kukamilosha raundi ya kundi A katika mashindano ya COSAFA.

Stars ambayo hivi karibuni imetoka kutoa sare ya bila kufungana na timu ya taifa ya Angola katika mchezo wa pili.

Stars katika mchezo wa awali ilibuka na ushindi dhidi ya Mali ambao ulipelekea kutwaa uingozi wa kundi bilo huku ikiwa pointi sawa na  Angoli.


 Download app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉HAPA

No comments:

Post Bottom Ad

Pages