STARS MZIGONI LEO AZAM COMPLEX. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 10 June 2017

STARS MZIGONI LEO AZAM COMPLEX.


Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' jioni ya leo itakuwa kibaruani kuvaana na Lesotho katika mchezo wa kimataifa wa kuwania kufuzu kombe la mataifa barani Afrika mwaka 2019,Mchezo Huo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex,Chamazi.

Katika mchezo huo Stars inatakiwa ishinde ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kishitiki mashindano makubwa barani Afrika AFCON.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages