STAR TOTENHAM ATUA NCHINI.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 20 June 2017

STAR TOTENHAM ATUA NCHINI..


Baada ya mastaa  kadhaa kuja Tanzania taarifa ikufikie kuwa kuna staa wa Tottenham Hotspurs amewasili Tanzania kwa ajili ya utalii, kiungo wa timu ya taifa ya Denmark anayeichezea Totteham Hotspurs ya England  Christian Dannemann Eriksen ametua Tanzania.


Chris Eriksen amekuwa tofauti kidogo kama ilivyokuwa kwa Mamadou Sakho ambaye alikuwa haoni tatizo kupost na kuonesha kuwa yupo Tanzania, Eriksen amekuwa akipost picha bila kutaja mahali alipo ila kimuonekano yupo Ngorongoro Crater Tanzania.


Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages