SOUTHAMPTON IMEMTIMUA KOCHA WAKE MKUU NA HAWA NDIO WANAOTAJWA KUZIBA NAFASI YAKE. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 7 June 2017

SOUTHAMPTON IMEMTIMUA KOCHA WAKE MKUU NA HAWA NDIO WANAOTAJWA KUZIBA NAFASI YAKE.Aliekua kocha wa klabu ya Southampton "Claude Puel" ametimuliwa katika kikosi hicho ikiwa ni msimu mmoja tangu kujiunga na kikosi hicho,imeripoti Daily Express.

Mfaransa huyo alijiunga na klabu hiyo akitokea katika klabu ya Olympiqe GymnasteClube Nice Côte d'Azur ambayo walio wengi huiita Nice.

Hata hivyo watakatifu hao wanatajwa kuwania saini ya mmoja kati ya makocha hawa,Thomas Tuchel aliekua akikinoa kikosi cha Dortmund na Roger Schmidt alikua akiinoa klabu ya Bayerleverkusen.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages