SINGIDA UNITED YATUPWA NJE YA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 5 June 2017

SINGIDA UNITED YATUPWA NJE YA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUPKlabu ya Singida United imeondolewa kwenye mashindano ya SPORTPESA SUPER CUP baada ya kutoka sare ya goli 1-1 na kuondolewa kwa mikwaju ya penati (5-4)

Katika mchezo huo klabu ya Singida United ndio iliyoanza kupata goli kupitia kwa Tafadzwa Kutinyu na AFC Leopards kurejesha goli hilo kupitia kwa Vicent Oburu,magoli yaliyodumu hadi kumalizika kwa dakika 90 huvyo kuamuliwa kupigwa mikwaju ya penati na hatimae Singida united kubwagwa nje.
No comments:

Post Bottom Ad

Pages