SINGIDA UNITED YAIBUKIA RWANDA YAMNASA HUYU.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 17 June 2017

SINGIDA UNITED YAIBUKIA RWANDA YAMNASA HUYU..Baada ya kunalizika michuano ya kwanza ambayo klabu ya Singida United maarufu kama wageni wa jiji kushiki sasa nguvu yao ipo katika kuendelea kufanya usajili ili kuketa mapinduzi ligi kuu nchini.

Singida united imemsajili strika wa timu ya Taifa ya Rwanda na Club ya Police Fc inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Rwanda ili kuongeza nguvu katika msimu ujao wa mwaka 2017-2018.


Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com

👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages