SIMBA, YANGA ZAMUWINDA NYOTA HUYU WA MBEYA CITY.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 6 June 2017

SIMBA, YANGA ZAMUWINDA NYOTA HUYU WA MBEYA CITY..


Straika wa klabu ya  Mbeya City Ditram Nchimbi amekiri Kufanya mazungumzo na Klabu za Simba na Yanga kwaajili ya Usajili.Straika huyo ambae mkataba wake umemalizika yupo huru kujiunga na klau yoyote 


Nchimbi ambaye alikuwa mwiba kwa klabu hizo pindi walipokutana nazo, amesema kwa nyakati tofauti amekuwa akifanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wa timu hizo zenye upinzani wa jadi.

“Ni wakati wa kupata changamoto mpya sehemu nyingine, nimekaa hapa kwa muda mrefu nikiitumikia klabu ya Mbeya City, sasa mkataba wangu umemalizika na nimeanza mazungumzo na Simba na Yanga,” alisema Nchimbi.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages