SIMBA YAANZA KUKAMILISHA USAJILI YAANZA NA HUYU.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 8 June 2017

SIMBA YAANZA KUKAMILISHA USAJILI YAANZA NA HUYU..


Klabu ya Simba leo imeingia rasmi mkataba na  mchezaji Yusuph Mlipili ambapo Yusuph Mlipili amesaini kandarasi ya miaka 3 kuitumikia klabu ya Simba kama beki wa kati.


Yusuph Mlipili anasaini mkataba na klabu ya Simba akiwa anatokea katika klabu ya Toto African.


Simba News imepata nafasi ya kuongea nae baada tu ya kusaini rasmi mkataba huu 'Ahadi yangu kubwa kwa wapenzi na mashabiki wa klabu ya Simba ni kuwa nimekuja kuwapa furaha nimekuja kufanyakazi na nitaifanya kazi hii kwa weledi na kujituma kuhakikisha klabu ya Simba inakuwa bingwa msimu wa 2017/2018'


No comments:

Post Bottom Ad

Pages