Header Ads

SIMBA KUTAMBULISHA WAPYA WATATU LEO.Klabu ya Simba imejipanga kuutumia mchezo wake wa robo fainali ya michuano ya Sportpesa dhidi ya Nakulu All stars utakao pigwa Uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam kuwatambulisha nyota  wake wapya iliyowasajili.

Nyota hao ambao wanatarajia kutambulishwa leo ni mabeki wa kati wa Rwanda, Munezero Fiston aliyetoka Rayon FC, Yusuf Mpili aliyetoka Toto African na Jamal Mwambeleko kutoka Mbao FC.

No comments:

Powered by Blogger.