SIMBA KUACHANA NA BEKI WAKE HUYU.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 17 June 2017

SIMBA KUACHANA NA BEKI WAKE HUYU..Klabu ya Simba imepanga kuachana na beki Janvier Bokungu kutoka DR Congo baada ya kumrudisha kundini Shomari Kapombe na Ally Shomari anayemudu kucheza nafasi hiyo ya beki wa kulia.

Akizungumza na chanzo cha habari makamu  Raisi wa klabu ya Simba Geofrey Nyange Kaburu amesema
“Bokungu ni mchezaji mzuri na ametusaidia sana msimu uliopita,lakini baada ya kuwapata Kapombe na Ally, tunafikiria kuachana naye kwa sababu hatokuwa na nguvu za kumudu ushindani na vijana,” amesema Kaburu.No comments:

Post Bottom Ad

Pages