SIMBA KAMA SINGIDA UNITED YAONDOSHWA KWENYE MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 6 June 2017

SIMBA KAMA SINGIDA UNITED YAONDOSHWA KWENYE MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP.


Klabu ya simba inefungashiwa vilago vyake na kuyaaga mashindano ya Sportpesa Super Cup baada ya kufungwa kwa mikwaju ya penati na klabu ya  Nakulu Allstars kwa jumla ya penati 5-4.Katika mchezo huo klabu zote zimecheza kwa kuonyesha ufundi umahili licha ya makosa mbalimbali ambayo yamejitikeza katika mchezo huo ambayo yamezipelekea timu zote kukosa magoli ya wazi na hivyo kusababisha kumalizika kwa dakika 90 milango ikiwa ni migumu.


Sasa Nakulu Allstars inaungana na vilabu vya AFC Leopards, Yanga na Gor mahia katika hatua ya nusu fainali ambapo  itacguana na timu ya Gor mahia katika hatua ya fainali huku Yanga iki kwaana na klabu ya AFC Leopard iliyowafungashia mafurushi klabu ya Singida United..

Nayo klabu ya simba imeungana na klabu za Singida United,Tusker na Jang'ombe boys katika kuyaaga mashindano hayo.

Mechi za Nusu fainali zitapigwa siku ya alhamisi na ijuma ambapo alihamisi Yanga itakua mgeni wa AFC leopards huku Gor Mahia wakimkaribisha Nakulu allstars.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages