SIMBA KAMA MNAMTAKA NIYONZIMA FANYENI HARAKA.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 21 June 2017

SIMBA KAMA MNAMTAKA NIYONZIMA FANYENI HARAKA..


Nyota wa Zamani wa Timu ya Taifa Stars na Timu ya Simba SC ya Jijini Dar es Salaam Boniface Pawasa amewaomba Simba kuhakikisha wanamalizana na Kiungo Haruna Niyonzima kama kweli wanamuhitaji.  
Akizungumza na Kituo cha Luninga cha ITV, Pawasa Aliwashauri Simba kukamilisha dili hilo Mapema zaidi kwani Niyonzima ni miongoni mwa viungo bora ambao kama Simba watamnasa Basi watakuwa Wameramba dume. 
-Nakiri kabisa Niyonzima ni Kiungo Mzuri sana na mchezaji muhimu Sana kuwapo katika Timu, Nawashauri Simba kama kweli wanamuhitaji Basi wachukue Mapema ili wajenge kikosi" Alisema Pawasa. 

Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages