Sare ya Malawi na Angola yaipeleka stars robo fainali. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 30 June 2017

Sare ya Malawi na Angola yaipeleka stars robo fainali.

Usipitwe na breaking news mbalimbaliza michezo pamoja na tetesi zote za usajili,like page yetu ya facebook 👉👉 HAPA


Taifa Stars imefanikiwa kufuzu hatua ya robo-fainali ya COSAFA 2017 baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Mauritius ikiwa ni dakika moja baada ya Mauritius kupata goli la kuongoza dakika ya 67, Simon Msuva aliisawazishia Taifa Stars dakika ya 68.

Mchezo wa Malawi na Angola nao ulimalizika kwa sare ya 0-0 na kutokana na matokeo hayo Tanzania imesonga mbele na itacheza na Afrika Kusini baada ya kuongoza kwa tofauti ya magoli licha ya kuwa na point 5 sawa na Angola. Malawi na Mautius zimemaliza zikiwa na point 2 kila moja katika hatua hiyo ya makundi

 Download app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉HAPA

No comments:

Post Bottom Ad

Pages