SALMIN HOZA WA MBAO ATUA RASMI AZAM FC - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 10 June 2017

SALMIN HOZA WA MBAO ATUA RASMI AZAM FC


Katika kuendelea na maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu Tanzania klabu ya Azam imeendelea kuongeza nyota ili kuhakikisha inatwaa ndoo ya lihi kuu Tanzania bara.

Baada ya saa kadhaa kutangaza kumsajili mshambuliaji matata wa klabu ya Kagera Sugar Mbaraka Yusuf tayari imeripotiwa kukamilisha  usajili wa Salmin Hoza kutoka Mbao Fc.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages