Header Ads

RUSSIA YAANZA KWA USHINDI KOMBE LA MABARA (CONFEDERATION CUP)Timu ya taifa ya Russia imeanza vyema michuano ya kombe la Mabara baada ya kupata ushindi wa goli 2-0 dhidi ya New zealand katika mchezo wa ufunguzi na hivyo kujinyakulia pointi tatu ambazo zimeifanya timu hiyo kukaa kileleni mwa kundi A ikiwa na pointi 3 huku ikifuatiwa na Mexico wenye pointi 0,Portugal nayo yenye pointi 0 na wa Mwisho ni New zealand ambae hapo jana kapokea kipondo.


Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Powered by Blogger.