PIRES ATOA UTABIRI WAKE JUU YA MCHEZO WA FAINALI KATI YA JUVE VS MADRID - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 2 June 2017

PIRES ATOA UTABIRI WAKE JUU YA MCHEZO WA FAINALI KATI YA JUVE VS MADRIDKatika kuelekea fainali ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya baadhi ya watu wamekua wakitoa utabiri wao juu ya nani atakae kua bingwa wa michuano hiyo.


 Katika kulichunguza hilo huyu hapa mchezaji wa zamani wa klabu ya Arsenal Robert Pires ameonyesha utabiri wake katika mchezo huo huku akiipatia klabu ya Real Madrid ndhidi ya Juventus wa jumla ya goli 3-1.

Champions League on Twitter

Former @Arsenal star @piresrobert7 makes his #UCLfinal prediction with @pepsi. https://t.co/P6sryfnybZ

No comments:

Post Bottom Ad

Pages