Header Ads

PICHANI: STARS YAANZA MAZOEZI RASMI USIKU WA MAY 31 HUKO MISRI..

   

Baada ya kuwasiri nchini Misri timu ya Taifa ya Tanzani Taifa stars alfajiri ya jana may 31 imefanikiwa kufanya mazoezi yake ya kwanza katika kambi yake ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Lesotho utakaopigwa June 10 mwaka huu..

 Zifuatazo ni picha za wachezaji wakiendelea na mzoezi usiku wa may 31..No comments:

Powered by Blogger.