Header Ads

PICHA: TOFAUTI ZAWEKWA KANDO WAUNGANA KUMUAGA SHABIKI SIMBA TAZAMA HAPA


Masikitiko na majonzi yametawala pale ambapo familia moja ya wapenda soka nchini walipokua wakiomboleza kuondokewa na shabiki kindaki wa klabu ya simba Shose ambae alifariki baada ya kupata ajali akitokea mjini Dodoma kushuhudia mchezo wa fainali ya FA kati ya Simba na mbao.

Taswaira katika picha nimetoa picha kwa saleh jembe blog..

No comments:

Powered by Blogger.