NYOTA HUYU ATUA RASIMI MTIBWA SUGAR KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 20 June 2017

NYOTA HUYU ATUA RASIMI MTIBWA SUGAR KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI..


Klabu ya Mtibwa Sugar imethibitusha kuinasa saini ya nyota wa klabu ys Police Moro. "Seleman Kihimbu(Chuji)".

Kwa mujibu wa klabu hiyo kupitia ukurasa wake maalumu wa twitter nyota huyo ameingia kandarasi ya miaka miwili kuitumumikia klabu hyo.

Chanzo hicho kimeripoti kua " Tumeingia mkataba wa miaka miwili na Suleman Ramadhan Kihimb "Chuji" kutoka klabu ya police Moro.

Down load app hii moja kwa moja kwenye kifaa chochote cha Android ili kupata habari kutoka vyankende.com 👉👉http://www.androidcreator.com/apk/app204631.apk

No comments:

Post Bottom Ad

Pages