NYOSO TAYARI KAGERA SUGAR - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 15 June 2017

NYOSO TAYARI KAGERA SUGAR

Image result for juma nyoso

Baada ya kunaliza kifungo chake  Beki wa zamani wa klabu ya Mbeya city Juma Nyoso ametua rasmi katika klabu ya Kagera Sugar kwa ajii ya msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara.

Hii ni baada ya kukosekana kwenye ligi hiyo kwa miaka miwili baada ya kifungo  alichokua akitumikia kwa kosa la utovu wa nidhamu.

Hata hivyo Nyoso amesaini kandalasi ya kuitumikia klabu hiyo ya Kagera Sugar kwa miaka miwili.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages